Book Detail

SAFARI YA KUWA HURU by Scott Reall

SAFARI YA KUWA HURU

Mwanzo wako wa Maisha yenye Tumaini, Afya, na Furaha

by Scott Reall

Pages: 228

Dimensions: 6 x 9

Category
  • BODY, MIND & SPIRIT - Inspiration & Personal Growth
  • PSYCHOLOGY - Mental Health
  • SELF-HELP - Emotions

Type : Paperback

ISBN : 9781545659632

Price : $16.99


Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?
Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha:
• Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.
• Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.
• Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako.
“Ninapendekeza kitabu hiki kwa kikundi cha watu, kwani kinampa mtu binafsi nafasi kubwa ya kujifunza, kukua na kuwajibika kwa kila mhusika kwenye kikundi. Kitabu hiki kilinifanya nitambue kuwa ya kale yamepita na ninaishi katika maisha mapya yenye uhuru”.
—Cornel Onyango, Co-Founder and Country Director for Care for Aids, Inc.
Kupitia kitabu cha Safari ya kuwa Huru katika kikao cha kikundi kidogo, kulivunja minyororo ambayo ilikuwa imeniweka katika utumwa kihisia, kiakili na kiroho. Kuwa na mawazo yaliyo na afya zaidi kumeniwezesha kwa hakika kuweza kupata upendo wa Mungu na uwepo wake kila siku.
—Anna Edgeston Ed.D. LPC -MHSP

Scott Reall  alifuzu kutoka chuo kikuu cha Otterbein mwaka wa 1976 na Shahada ya Sanaa Katika Afya na Sayansi ya mazoezi akiwa na imani ya kwamba kuna mengi zaidi kuhusu kuwa mzima bali na kuwa na mwili wenye kimo cha kufaa. Yeye ni kiongozi katika mwendo wa duniani kote wa jamii za uponyaji za vikundi vidogo ili watu wote wakue na wabadilike pamoja katike mahali palipo na usalama na mahali watakubalika. Scott ameandika vitabu vinavyofuatana ambavyo vinahusu safari na ndiye Mwanzilishi wa huduma ya vikundi vidogo vya urejesho duniani, isiyo ya kuleta faida  iliyoanzishwa Nashville TN.
www.restoresmallgroups.org

Search by Topic

Browse By New Releases